![]() | |||||||
Mawingu Yakiwa Yametanda Coogee Beach. |
Hali ya Hewa Si Shwari
Katika Miji Mikubwa Mabara Tofauti,Likiwemo Hili la Mawingu Yasiyo Ya
Kawaida Kutanda Katika Anga La Australia.Ni Baada ya Mvua Kubwa
Iliyoambatana na Radi mpaka kupelekea Mafuriko Kunyesha Siku Ya jana tar
6. Matukio Mengine Ya Kufanana Na Haya yameripotiwa Huko Marekani
Ambako Kuna Mvua za Kimbunga Barafu Kama Inavyoripotiwa na Vyombo
Tofauti Vya Kimataifa Vya Habari.
Hapa Chini ni Picha Zikionesha mabadiliko Kutoka Fukwe Tofauti Tofauti Australia
![]() |
Mark Metcalfe/Getty Images
Mtu Kutoka Australia Akishangaa Mawingu Yaliyotanda Siku ya jana Katika Fukwe za Sidney Australia |
![]() |
David Gray/Reuters:Mollymook Beach |
![]() |
Will Burgess/Reuters:Mawingu Yakiwa Katika Anga La Manly Beach.
|
![]() |
Cassie Trotter/Getty Images |
Picha Hii Iliyopigwa na Smart Phone, Mawingu yanaonekana yakikatiza Wilaya Kuu Ya Kibiashara Sidney
0 MAONI YAKO:
Post a Comment