March 09, 2014

Vincent Kigosi ‘Ray’.

  STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati mgumu kumpanga mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye filamu yake ambayo walipaswa kucheza kama wapenzi kwa kuhofia kumbusu.Akizungumza katika kituo kimoja cha runinga cha jijini Dar hivi karibuni, Ray alisema licha ya kuwa Lulu alikuwa anastahili kuigiza katika sinema ya Woman Principle miaka kadhaa iliyopita, aliona Lulu anafaa kutokana na umakini wake lakini akaona bora amchukue Miss Tanzania namba 3, 2003, Nargis Mohammed kwa kuhofia kupata aibu ya kuoneshana malavidavi na Lulu.


“Lulu alikuwa na uwezo wa kumudu kipengele hicho, kipindi hicho alikuwa mdogo sana, niliona ni jambo la aibu kidogo kumbusu mdomoni mtoto mdogo kama yeye halafu ni kitu ambacho jamii itakaa ikitazame nikaona bora nimchukue Nagris, Lulu nikampa sini nyingine,” alisema Ray.

Lulu
Aliongeza kuwa, kikubwa kilichomfanya avutiwe kucheza na Nagris ni kwa sababu ni mwanamke ambaye katulia na hana skendo hivyo itamuongezea heshima na mvuto wa kazi yake katika jamii.

Related Posts:

  • Makamu wa rais wa afutwa kazi    Rais wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma amemfuta kazi makamu wa rais kwa kutafuta hifadhi katika ubalozi wa kigeni nchini humo.Siku ya jumamosi ,Samuel Sam Sumana amesema kuwa alimtaka balozi wa Marekani kump… Read More
  • Umeipata hii ya majaji 3 kufutwa kazi kwa kutazama video za ngonoMajaji watatu wamefutwMajaji watatu wamefutwa kazi kwa kutumia muda wao afisini kutizama filamu za ngono. Jaji Timothy Bowles anayesikiza kesi za wilaya , jaji wa maswala ya uhamiaji Warren Grant na jaji Peter Bullock wamefut… Read More
  • Waumini 10 wa dini ya kikristu wazikwa    Wakristu wazika wapendwa wao waliouawa katika milipuko makanisani Waumini wa dini ya kikristu nchini Pakistan wamekusanyika kwa maziko ya waathiriwa wa mauaji ya siku ya jumapili yanayoaminiwa kufanywa na … Read More
  • Zitto Kabwe avunja ukimya, afunguka yote Hatimaye Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, amefunga kuhusiana na CHADEMA na chuki za kuvuliwa uanachama. Katika mahojiano haya, zitto anatoa maelezo yote juu ya tuhuma dhidi yake. Swali: Mwaka 2009, ulitaka kugombea… Read More
  • Makinda: Zitto Kabwe ni mbunge halali   Spika wa Bunge Mh Anne Makinda amesema kuwa kwa niaba ya Bunge bado anamtambua mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuwa ni mbunge halali wa bunge hilo. Akizungumza nje ya ukumbi wa bunge mara baada ya kikao… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE