March 17, 2014

   

 Ni bonge moja ya show iliyofanywa na wasanii Madee na Shilole ndani ya Ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara, haijwahi kutokea

  

Madee akiwa na Raymond Tayari kwa Kushambulia Jukwaa katika Show iliyofanyika Hapo jana Usiku ndani ya Makonde Royal Night Club na kuhudhuriwa na Mashabiki Lukuki wa Mji wa Mtwara na Viunga Vyake.


 Kuanzia Kulia ni Shilole Baby a.k.a Beyonce akiwa na Madansa wake wawili wakike pamoja na Msanii Raymond wa Tiptop Conection waliweza kukonga nyoyo za Mashabiki wa Mziki huo wa Kizazi kipya Hapo jana Ndani ya Makonde Royal Night Club. Show ilisimamiwa na Safari Radio Fm Mtwara.

 
 
 
 
 
 

Muite Madee Rais wa Manzese kutoka kundi la Tip Top Conection aliwasha moto vilivyo ndani ya Makonde Royal Night club katika Show yake iliyoandaliwa na Safari Radio Fm Mtwara.


                       Mashabaki nao walipagawa kabisa wakaanza kutema mate sasa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE