Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya
CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji
cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa
na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,
Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha
Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwwazu iliyong’olewa paa
na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu
linalotumika.
Shule ya Msingi Kwazu ilivyobaki baada ya paa kuezuliwa na upepo mkali.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment