Askofu kazini
Kupitia www.ubalozini.blogspot.com, Tunapenda kukutakia Maisha marefu yenye kheri na baraka tele kwa siku yako hii muhimu , ndugu yangu, rafiki yangu, mshauli wangu PANCRAS MAYALA maarufu kama DJ Askofu. Mengi sana tunafanya pamoja. shukrani sana kwa ushauri wako kwangu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment