
Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud
Ally (Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha
Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza
kukabiliana na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za
kitanzania.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment