Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea
Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye
Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi
ulichukuliwa kama mzaha lakini leo imedhihirika tena kwa mara nyingine
kuwa utabiri wake ni wa Kweli , kwani imethibitika kuwa ndege hiyo
ilianguka kwenye bahari hiyo na hakuna aliye pona...
Mapya Yaibuka sakata la Makonda na Meya Jacob
Suala
la Meya wa Ubungo, Boniface Jacob na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Paul Makonda, limechukua sura mpya baada ya meya huyo kuitwa
Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma na kutakiwa kujibu shauri …Read More
Penzi la Wolper na Brown chali?
Duniani kuna mambo, Ile couple ya Amber Rose na 21 Savage ya Bongo
inayomuhusu muigizaji wa filamu Jackline Wolper na Brown dezaini kama
limekufa hivi.
Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kima…Read More
Hamisa Mobetto kuwania tuzo za South Africa
Mwanamitindo, Hamisa Mobetto amepata shavu kwa kutajwa katika msimu
wa nne wa tuzo za Starqt Awards zinazohusisha biashara, mitindo,
burudani na vitu vingine.
Hamisa ametajwa katika tuzo hizo kwa kuwania vipengele&nb…Read More
Mfalme wa Saudia, ziarani Urusi
Mfalme Salman wa Saudi Arabia amewasili Moscow, ikiwa ni ziara ya kwanza kwa mtawala wa kifalme wa nchi hiyo kutembelea Urusi.
Katika
ziara yake hiyo, atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Vladmir
Putin, ikiw…Read More
Aslay aiteka Morogoro , Samaki Spot
Mkali wa muziki wa Bongo fleva anayetamba kwa sasa toka Dingi Int. Aslay Isihaka, wikendi iliyopita aliiteka Morogoro pale alipopiga bonge ya show katika ukumbi wa Samaki Spot mkoani Morogoro. Aslay alionekana ku…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment