Bodaboda wezi wa simu, wakamatwa na kuchomewa pikipiki
Maeneo karibu na Ocean Road, vijana maarufu kwa ukwapuaji wa simu za
mkononi wakiwa kwenye pikipiki walimkwapulia dada mmoja simu. tukio hilo
lilionwa na mtu aliyekuwa kwenye gari ndipo alipoanza kuwafukuzia na
k…Read More
Waliowajeruhi polisi Tanga wasakwaJeshi la Polisi nchini limesema wanawasaka watuhumiwa waliowajeruhi askari sita kwa risasi mkoani Tanga.
Askari hao walijeruhiwa wakati wakifanya kazi ya kuwatafuta watuhumiwa wa uhalifu wa kutumia silaha wanaodaiwa kuw…Read More
CUF- Wampeleka Lipumba UKAWACUF kimesema kimepanga kulipeleka jina la Profesa Ibrahimu Lipumba ili kuomba ridhaa ya kugombea kiti cha urais.
Naibu mkurugenzi wa uchaguzi wa chama cha wananchi CUF Bwana Shaweji Mketo amesema chama cha wananchi CUF kimepa…Read More
Mkurugenzi TPA asimamishwa kazi
Waziri wa Usafirishaji Samweli Sitta.
Taarigfa zilizotufiki punde zinasema kuwa Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta amsimamisha kazi kaimu mkurugenzi mkuu
wa mamlaka ya Bandari Tanzania mhandisi Madeni Kipande kutok…Read More
MSD yaokoa Sh. 15.8 bilioni
-
BOHARI kuu ya dawa MSD imesema kuwa kipindi cha Julai mwaka jana mpaka
sasa...
The post MSD yaokoa Sh. 15.8 bilioni first appeared on Mwanahalisi Online.
TASAF KUBORESHA ZAIDI AJIRA ZA MUDA MFUPI
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Shadrack Mziray
amesema ziara ya mafunzo nchini, Afrika Kusini kuhusu utekelezaji wa ajira
za ...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment