April 29, 2014

1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za
ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani.
Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi
kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho
ukivaa nguo pana
hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.

5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila
kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.

6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina
umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.

Related Posts:

  • Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini UfaransaNdege ya shirika la ndege la Germanwings Ndege ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 Imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imewabeba abiria 142 na wahudumu 6 ikito… Read More
  • Magazeti ya leo hii March 26 haya hapa Leo Alhamisi Tarehe 26 March 2015. Tunakupatia fursa ya kutembelea kurasa za magazeti ya leo hii kama tulivyoyapata … Read More
  • Nay wa Mitego achukua maamuzi magumu kuhusu mtoto Nay wa Mitego na Mtoto wakeNay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa kwake bali ni wa aliyekuwa  Mpenzi wake wa zamani Obasanjo...Japo Wahen… Read More
  • England kuandaa kombe la dunia  Sepp Blatter Rais wa FIFA England sasa inafikiria kuingia katika kinyanganyiro cha kuwa mwenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 baada ya kujaribu bahati hiyo ilii iandae fainali hizo mwaka 2018 lakini ilijikut… Read More
  • Mwandishi wa habari ashtakiwaMwandishi mmoja wa habari mashuhuri ambaye pia ni mkereketwa wa haki za kibinadamu amefikishwa mahakamani nchini Angola kwa mada Mwandishi mmoja wa habari mashuhuri ambaye pia ni mkereketwa wa haki za kibinadamu amefikishwa m… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE