April 29, 2014

IMG-20140425-WA0006

 Mashaalah ni jina la wimbo mpya wa Diva ambao anategemea kuuachia rasmi Ijumaa kupitia XXL,Studio iliyohusika na utayarishaji wa wimbo huu ni Sharobaro Records na ndani ya wimbo huu kashirikishwa Producer wa wimbo huu Bob Junior

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE