April 15, 2014

JADALA WA WATU, MIPASHO NA MATUSI VINAENDELEA HAPA DODOMA;
MJADALA WA WATU, MIPASHO NA MATUSI VINAENDELEA HAPA DODOMA;

Kesho nami nitachangia mjadala kuhusu sura ya 1 na ya 6, ntakuwa mtu wa ishirini kwa mujibu wa orodha na itakuwa ni mchana kati ya saa 6 hadi saa 7 .

Nafasi ikikosekana mchana ntakuwa mtu wa mwanzoni majira ya saa 10 jioni.

Ntatumia dkk zote 10 kumjadili Mwigulu Nchemba .....halafu ntakuwa nimemaliza kutoa mchango wangu.....maana wajumbe walio wengi hasa kutoka CCM wanajadili watu siyo ISSUES!!!!

Nami ntajaribu kumjadili mtu....Ha ha haaa...

G evening friends;

John Seka, Josh Nassari,Godbless Charles,Zakia Hassan, Judy Charl, Hashim Bakari Mziray, Bwire Silas, Abubakar Kitogo, Mamy Wa Ibra,

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE