April 15, 2014


Mwanamitindo mkubwa duniani Naomi Campbell amefurahi kukutana na Lupita Nyong’o kwenye tuzo za Glaad na kupiga naye picha ilikutunza kumbukumbu yao pamoja. Sammisago.com imekupa nafasi ya kuona picha hizi.
Ukiwa kijana kwenye karne ya 21 selfie ni kitu cha kawaida kufanya au sio. Naomi ameandika hivi kuhusu kukutana na Lupita            “So lovely to meet you @lupitanyongo proud !!! #glaadawards @glaad”
naomi_lupita 

naomi-lupita

Related Posts:

  • News kuhusu Zanzibar Kukatiwa Umeme   Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) limetoa siku 14 kwa wadaiwa sugu kuhakikisha wanalipa madeni yao. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kaimu mkurugenzi wa Shirika hilo, Tito Mwinuka amesema mpaka sasa w… Read More
  • New Audio: Darassa ft Shontelle - Impossible   Tumeupata wimbo mpya wa Darassa aliomshirikisha Shontelle unaitwa Impossible, wimbo huu siyo Official kwa maana Darassa ajauachia rasmi. … Read More
  • Mwamuzi wa Chirwa aondolewa Ligi Kuu Mwamuzi Ahmada Simba akimuonesha kadi nyekundu mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting. Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa… Read More
  • Lissu, Masha wanunua kesi ya kupinga uchaguzi TLS   Baadhi ya wagombea wa nafasi ya  urais kupitia kwa chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS wanatarajia kuwasilisha maombi ya kujumuishwa kama wadaiwa katika kesi ya kupinga kufanyika kwa uchaguzi wao… Read More
  • Shilole afunguka kuhusu ujauzito   Msanii filamu na muziki wa bongo fleva, Shilole amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hana ujauzito wowote bali ameridhika na maisha jambo ambalo limefanya aongezeke mwili na kunenepa licha ya watu kuwa na hisia ku… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE