Masaa machache kabla ya kufikia siku aliyotutoka nguli wa filamu nchini Stiven Kanumba 'KAMUMBA DAY', H Baba kupitia Instagram yake alifunguka kuhusu msanii huyo kwa barua ifuatayo:
P-Funk azungumzia ujio mpya wa Bongo Records
Kwa muda mrefu, producer mkongwe wa Bongo Flava, P-Funk Majani alikuwa akizungumza nia yake ya kupata wasanii wa kike kwaajili ya kuwasainisha Bongo Records.
Na sasa ametangaza kumpata msichana wa kwanza atakay…Read More
Mahakama yamfutia Shtaka Mtoboa Macho Salumu Njwete...
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfutia shtaka linalomkabili mshtakiwa
Salumu Njwete baada ya upande wa mashtaka kuomba shtaka hilo liondolewe
mahakamani kwa sababu hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Kutokana na maom…Read More
Mtoto wa Mfalme Saudia Arabia Anyongwa
Mtoto wa kifalme wa Saudi Arabia (prince) amenyongwa baada ya kumpiga
risasi na kumuua mtu kwenye ugomvi uliotokea miaka miwili iliyopita
kwenye mji mkuu, Riyadh.
Prince Turki bin Saud al-Kabir alinyongwa kwenye mji m…Read More
NMB Kuendelea Kusherehekea Huduma Kwa Mteja Kwa Mwezi Mzima
Wiki
ya kwanza ya mwezi Oktoba hujulikana kama wiki ya huduma kwa mteja na
huadhimishwa duniani kote. Benki ya NMB imeamua kuendelea kusherehekea
huduma kwa mteja kwa mwezi mzima ili kuonyesha jinsi inavyomjali mte…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment