April
07 2012 ni siku ambayo Tanzania ilimpoteza Msanii wa Filamu Steven
Kanumba ni msiba ambao ulibeba hisia za Watanzania na hata wasio
Watanzania ambao walikua wakifatilia filamu mbalimbali alizowahi
kuzifanya Kanumba.
April
07 2014 ni miaka miwili imetimia tangu Kanumba afariki dunia katika
kumuenzi lilifanyika tamasha lililowahusisha wasanii wa filamu,bongo
fleva,taarabu na muziki wa dansi kisha ukafunguliwa mfuko rasmi wa
Kanumba naoitwa Kanumba the Great Foundation.
Ingawa tamasha lilichelewa kuanza kutokana na sababu za kiufundi
ambazo zilisababishwa na kukatika kwa umeme kwa zaidi ya masaa 3
waalikwa walivumilia na kusubiri burudani kuanza.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment