Hivi majuzi huko Kiryat Ya,Israel baada ya watalii waliokuwa pembezeno mwa bahari hiyo kumuona nguva(SAMAKIMTU) akiwa juu ya mawe. Kutokana na habari hizi kuenea watalii wengi wamekuwa wakimiminika huko Israel wakiamini labda nawao watamuo.
Rais Magufuli afuta hati za mashamba
Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli amefuta hati za mashamba matano makubwa yaliyokuwa na hati za miaka 99 chini ya umiliki wa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ambayo yamebainika kuw…Read More
Simba wa kushangaza aliyeuawa Marekani
Simba huyo alikuwa pia na masharubu ya ziada
Simba wa milimani aliyeuawa katika jimbo la Idaho, nchini Marekani ameshangaza wengi kutokana na hali kwamba alikuwa na meno ya ziada kichwani.
Meno hayo kamili yanachomoza kutoka …Read More
Leo katika Magazeti yetu jumamosi january 16 / 2016
Karibu katika magazeti ya leo hii Jumamosi January 16, 2016.Tumekuwekea vichwa vya habari katika baadhi ya magazeti nchini. Zaidi pitia katika meza za magazeti upate nakala yako
…Read More
Jaribio la dawa mpya lazua maafa Ufaransa
Jaribio la dawa mpya nchini Ufaransa limemwacha mtu mmoja akiwa hana fahamu huku wengine watano wakiwa katika hali mbaya.
Jaribio hilo lilifanywa na mahabara ya kibinafsi katika mji wa mgaharibi wa Rennes.
Kufikia sasa Jarib…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment