





Salma Jabu Nisha akiwa pembeni ya kaburi la Kanumba.
PICHA hizi ni kwa hisani ya masainyotambofu.com
Machaku





Sakata la madawa ya Kulevya,Mbowe amtolea uvivu Makonda, aapa kumfikisha Mahakamani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hatokwenda polisi kwaajili ya mahojiano kama alivyoitwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akilitaja jina lake kwenye orodha… Read More
Brand New audio: Nahisi - Stone ft Belle 9
Kutoka mkoani Morogoro ni kipaji kingine chenye uwezo mkubwa sana. Anaitwa Stone ametuletea wimbo wake mpya kabisa aliomshirikisha Belle 9. Wimbo unaitwa Nahisi.
Stone ft Belle9
song Nahisi
… Read More
Interview: Diamond na Zari walipohojiwa ndani ya Leo Tena ya Clouds Fm
Katika kuelekea 40 ya mtoto wao princenillan , Diamond na Zari walifika Clouds Fm katika kipindi cha Leo Tena siku ya jana.
Wawili hao walihojiwa kuhusu 40 ya mtoto wao ambayo itafanyika Jumamosi hii ( Feb 1… Read More
Kuhusu kutajwa katika orodha ya wahusika wa madawa ya kulevya, Mchungaji Gwajima amshukia Makonda, amuomba Magufuli kumpamgia kazi nyingine
Mchungaji Gwajima amemjibu hivi Paul Makonda baada ya kutajwa Jana kwenye sakata la Madawa ya kulevya. Askofu Gwajima alitajwa pamoja na Yusuph Manji, Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA, Idd Azzan Mbunge mstaafu… Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment