
Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauz
Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga baada ya paparazi wetu kumhoji.
“Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.
JE wewe unasema nani zaidi hapo kwa pic?
0 MAONI YAKO:
Post a Comment