Star
mkubwa kama Rihanna kupiga picha kama hizi ni kawaida sana kwa wenzute
na wanasema analipwa pesa nyingi sana kufanya hivi kwa majarida tofauti
yanayotaka muonekano huu.
Hapa ni Marekani eneo la Hollywood Hills na hizi picha ni behind the
Scene ya Exclusive Pictures zitakazo chapishwa kwenye jarida kubwa
nchini Ufaransa.Tanzania msanii akifanya jambo kama hili atachukuliwaje, Je akitangaza kuwa analipwa pesa nyingi kufanya hivi bada atapendwa na mashabiki, Ni Maswali tu yakujiuliza ukizingatia mastaa wengi wanaiga kinachofanyika Marekani.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment