April 22, 2014

Mugshot of Rachel Udoba

Mtangazaji wa Radio One Rachel Udoba amekamatwa huko Atlanta/USA baada ya kukutwa akiiba katika duka ,, mtandao wa georgia-mugshot-search.com umethibitisha taarifa hizo, huku msichana huyo akitambulishwa kuwa ametokea nchi ya Gwinnett, GA, pia kupitia mtandano huo wamethibitisha kuwa mwanadada huyo yupo huru sasa.
 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE