April 12, 2014

 
Kwa Bongo tunajua kwamba mwanadada Agnes Gerald aka ‘Masogange’ anafunika bovu kwa kuwa na booty yenye mvuto zaidi,ila huko Kenya ni shida nyingine tena tunakutana na mwanadaa Corazon Kwamboka ambaye ametokea kuwa gumzo na tishio kwa warembo wengi nchini humo.
Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes Masogange. Hii imewafanya wasichana wengi wa Kenya wamuonee wivu na kumsema vibaya. Jionee mwenyewe...
 

 

 

 

 

 

 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE