Angalia Video Hapa Chini Jinsi Daraja la
Mpiji hapa Maeneo ya Bunju Mpakani mwa Dar na Bagamoyo lilivyokuwa
linavunjika......
Watu 10 wamepoteza maisha jijini Dar es Salaam,huku mawasiliano kati ya
jiji la Dar-Es-Salaam na wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani yakisimama kwa
zaidi ya siku tatu,mara baada ya tuta la barabara pembezoni mwa daraja
la mto Mpiji kusombwa na maji umbali wa mita arobani na kuleta adha kwa
wananchi wanao tumia barabara hiyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment