Mbali na headline mbalimbali zilizoanza kutoka mara baada ya kukabidhiwa
kwa tuzo hizi 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Award Diamond Platnumz
amekua msanii wa kwanza kupata idadi nyingi ya tuzo tangu kuanzishwa
kwake,ukitoa 20% ambaye mwaka 2011/2012.
Diamond ameandika hiki baada ya kukabidhiwa tuzo hizi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment