May 14, 2014


Akiwa Sweden, JCB leo hii ametambulisha wimbo wake mpya "Sina Muda" akiwa na Fid Q na Kala Pina



Wimbo huu aliu-record wiki moja kabla ya kuondoka kwenda Sweden , na producer Black Slim kutoka Arusha....Sikiliza hapa chini.


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE