
Mtangazaji makeke wa kike hapa bongo, anayefanya kipindi cha Ala za Roho cha clouds Fm Diva loveness love, ambaye pia ni msanii wa bongo fleva, kesho anatarajia kutamburiosha wimbo wake mpya unaoitwa Masha allah katika kipindi cha XXL
Kama wewe ni mdau na mshabiki wa Diva , kaa tayari kesho kwa XXL!!!!!!!
0 MAONI YAKO:
Post a Comment