Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Morogoro (MRFA), Hamis Semka
(kulia) akimkabidhi cheti mlinda mlango wa klabu ya Yanga, Juma Kaseja
baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya ualimu wa mpira wa miguu na kupata
alama ya daraja A katika hafla iliyofanyika Bwalo la Umwema, Morogoro.
Picha na Juma Mtanda.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment