May 17, 2014



 

 
Moshi ukiwa umetanda Manzese Darajani wakati moto ukiendelea kuwaka na kuteketeza baadhi ya Maduka ya Manzese Darajani jijini Dar.

 
Watu waliojitokeza kushuhudia tukio la moto Manzese wakiwa wamepanda darajaji.…

 
Moshi ukiwa umetanda Manzese Darajani wakati moto ukiendelea kuwaka na kuteketeza baadhi ya Maduka ya Manzese Darajani jijini Dar.

 
Watu waliojitokeza kushuhudia tukio la moto Manzese wakiwa wamepanda darajaji.
..Baadhi ya bidhaa zilizookolewa zikiwa kando ya Barabara ya Morogoro eneo la Manzese Darajani huku watu wakishuhudia.  

 
Polisi wakiwa na silaha wakilinda usalama Manzese Darajani jioni hii wakati moto ukizimwa.
 
Baadhi ya wagonjwa wa Hospitali ya Morden Centre iliyopo Manzese darajani wakiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kutimua hospitali kuhofia maisha yao baada ya maduka jirani na hospitali hiyo kuwaka moto na moshi kujaa hospitalini, hivyo kuwapa hofu wakonjwa. Chanzo cha moto huo hakijajulikana na vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya uokoaji.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE