Waliohost show ni watangazaji wa MTV BASE Vanessa Mdee na Nomuzi Mabena.
Kwenye stage walimiliki Sauti Soul kutoka Kenya, Mi casa kutoka South Africa na Diamond Platnumz kutoka bongoflevani ambae alimpandisha Shetta kama suprise hivi wakamaliza kazi.
Tanzania imekua miongoni mwa nchi tatu ambazo party la Mama Awards limedondoshwa 2014 ambapo nchi nyingine ni Nigeria na South Africa.
Shaa, Dyna na Vanessa Mdee
Watu wa media nao walikuwepo, TBC1 na Times FM
Hata bongo movie ndani
Sauti Soul kwa red carpet
Ay
kwa mbali akiwa na Wanasiasa/Viongozi maarufu wa Tanzania MP kutoka
Kigoma kaskazini Zitto Kabwe na Mayor wa Ilala Jerry Silaa kwenye red
carpet.
Petitman
Faraja Kyarwenda na Tirra kutoka 88.5 Clouds FM wakiwa na Dayna Nyange mama Rahma toka Bongo fleva
My hommie DJ Zero kwa mbaaali
Sauti Soul walipoanza kazi
Fans wa Sauti Sol wakihusika na pichaz
Dyna akiwa na Team CloudsFM/CloudsTV George, Raymond Mshana, Tirra na Lugha kali





0 MAONI YAKO:
Post a Comment