

Machaku
Kamishna Msumule aanza na wahamiaji haramu
Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Jijini Dar es salaam, John Msumule amesema kuwa watu ambao wanaishi nchini bila utaratibu wataondoka nchini ama kwa hiari ama kwa lazima.
Ameyasema hayo mapema hii leo alipokuwa akizungumza … Read More
Askofu Ajitokeza Kumtetea Mbowe Juu ya Issue ya Kuuza Madawa ya Kulevya..!!!
MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Viongozi wa Dini, Askofu Wiliam Mwamalanga, amesema amesikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,… Read More
News: Wachimbaji Sita Wafukiwa na Kifusi Mara...!!!
HABARI zilizotufikia hivi punde zimeelza kuwa wachimbaji sita wa madini wanadaiwa kufukiwa na kifusi walipokuwa wakichimba madini kwenye mgodi wa Buhemba ulioko mkoani Mara.
Imeelezwa pia kuwa watu 11 wame… Read More
Baad aya Manji kubainika kutumia dawa za kulevya, hii ndiyo kauli ya Kamanda Sirro
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa vipimo vya Mkemia Mkuu wa Serikali vimebaini mfanyabiashara mkubwa ambaye pia ni mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji hutumia dawa za kulevya… Read More
Trump kufanya mazungumzo na Netanyahu
Rais wa Marekani, Donald Trump amemkaribisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya White House ili wafanye mzungumzo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu nchi za Mashariki ya Kati.
Mazungumzo ya Trump… Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment