May 18, 2014


  PUMZIKA KWA AMANI ALBERT MANGWEA:   
          Ilikuwa tarehe 28 mey 2013, ndipo sfari ya mwisho ya Mangwea katika ardhi hii ilikamilika. Nchini afrika ya kusini Mauti yakamkuta huku ndugu yake wa Karibu M 2 THE P mpaka sasa akiwa aamini kilichotokea. Kuelekea mwaka mmoja wa kuadhimisha kifo chake ALBERT MANGWEA, huu ni wimbo maalum ulioimbwa na M 2 THE P akiwashirikisha J MO na PRINCE DULLY  SYKES chini ya PRODUCER MARCO CHALLI



SIKILIZA DOWNLOAD HAPA.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE