

Hii ni kati ya Show zake alizowahi kupiga huko nchini marekani katika
tuzo za mtv. katika hali isiyo ya kawaida Gaga aliingia Kwa stage na
madance wake akiwa kama unavyomuona kwenye Picha. Lady gaga amekuwa
akifanya hivi katika show zake nyingi ili kuwavutia watu
wengi. Pia ameonekana ni celebrities ambaye hana aibu awapo jukwaani
lolote litakalomjia kichwani kwa muda huo yeye analifanya. So mambo kama
haya yanaendelea Kumpa umaarufu wa Kutosha kila kukicha!!
0 MAONI YAKO:
Post a Comment