Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na
Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya
kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa
kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.
Inasikitisha Jamani ...RIP
By Pendo Lyimo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment