June 21, 2014


Nikki wa II 
June 14 2014 Dodoma Tanzania Wasanii mbalimbali wa bongofleva Tanzania walimwalika Rais Jakaya Kikwete kuizindua video ya kwanza kwenye historia ya muziki wa kizazi kipya Tanzania baada ya Wasanii mbalimbali kuungana na kuimba ‘Tuulinde’ Tanzania naiaminia wakihamasisha Watanzania kuulinda muungano.
Mastaa wa muziki huu Nikki wa II na Mwana FA walihutubia mbele ya Rais Kikwete na kisha baadae President mwenyewe ndio akaongea, unaweza kutazama video zao wakihutubia hapa chini na video yenyewe iliyozinduliwa pia.
               

             







0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE