Kubenea ahukumiwa miezi mitatu
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) leo amehukumiwa
adhabu ya kukaa nje miezi mitatu bila kujihusisha na kosa kama
alilolifanya la kumtukana aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul
Makonda a…Read More
Mke wa Ndanda Kosovo asimulia mazito ya kifo cha mumewe
Mke wa Ndanda Kosovo ‘Kichaa’, aitwaye, Loving Chitoto.
Mkewe wa muimbaji wa muziki wa dansi nchini aliyezikwa jana marehemu Ndanda Kosovo aitwaye Loving Chitoto, amesimulia mazito juu ya
mumewe.
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment