June 07, 2014

Leo, amezaliwa mdau wa Media Tanzania, toka Moro Gairo anaitwa Willson Chigolo, tumekuwa nae siku zote katika harakati zetu hizi. KUPITIA www.ubalozini.blogspot.com Hatuna budi kukutakia maisha marefu, kheri nyingi na baraka tele, Mungu akujaalie na akupe kila hitajio la Nafsi yako. Tupo pamoja.


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE