June 22, 2014

Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu Dengue ni Team tofauti na ile ya Wema , Ki ukweli Imesikitisha Wengi sana ....Baada ya Watu wengi kulaani hicho kitendo Mwenye Account hiyo ali delete picha lakini akawa imeshasambaa sana kwa watu ...

Vita za

Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu:
 
KAULI YANGU: TUWE WASTAARABU NA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII NDUGU ZANGU

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE