Imebainika kuwa Mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda
kuishi South Africa Kutokana na Skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile
ya Madawa ya Kulevya Ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda
kesi na kuachiwa..Rafiki yake wa karibu
aitwaje Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Agness Ameenda huko
ili kutulia kwasababu hapa Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa Vidole
kitu ambacho alikuwa akipendi kabisa...Si kweli amepata Maisha mazuri
kama alivyosema.
Chelsea vs PSG: Fainali ya moto kuwasha Dunia
-
Leo ndo leo, Dunia ya soka itasimama kwa dakika 90 za moto wa fainali,...
5 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment