June 22, 2014


Huyo Msichana Unayemsumbua
Leo Na Kumchezea Leo Kama Mdoli
Siku Moja Atakuja Kuwa Mke Wa Mtu
fulani........

Uharibifu Unaofanya Kwenye Mwili
Wake Kwa Kulazimisha Abortions Zisizo
Na Idadi Na Uharibifu Unaoufanya
Kwenye Moyo Wake Kwa Kumchezea

Chezea Hisia Kama Za Mnara Wa
Askari.... Ipo Siku Mwanaume
Mwenzako Atakuja KUMU0A Na
Kuyaridhi Yote Unayomfanyia Huyo
Mdada.....

Je Unamjua Mke Wako Wa kesho?
Wakati Upo Bize Kuharibu Mke Wa
Mwenzio Na Wewe Mke Wako Wa
Kesho Yupo Na Jamaa Mwingine Nae
Anamharibu Sawa Sawa Na Uharibifu
Unaofanya Wewe......

Kabla Hujaumiza Mdada Wa
Watu...... Jiulize Utafurahi Ukimkuta
Mkeo Wa Kesho Nae Amefanyiwa
Uharibifu Kama Unaoufanya Kwa Huyo
Mdada Leo??

Treat A Woman The Way You
Would Love Your Future Woman To Be
Treated Huko aliko......

Malipo ni Hapahapa...... Kila Debit
Transaction Ina Corresponding Credit
Entry....Double System Applies
in Love.....

Je Uliye Naye Ndo Utamuoa?
""" Nimesema tu

COMMENT PLS

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE