Afande Sele na Prof Jize
Tamasha la kihistoria la miaka kumi ya ufalme wa Rhymes linalotarajiwa kufanyika Th 27 june pale Msamvu Teminal Morogoro, linatarajiwa kupamba na wakali kibao usiku huo.
Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Afande sele amesema, wakazi wa Morogoro watarajie kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka kadhaa mkoani humu kufuatia tamasha hilo la Kihistoria linalotarajiwa kupamba na wakali kibao wakongwe na wa sasa kama. dully sykes, Madee na Tip TOP, Dayna Nyange, Stamina, Juma Nature, Belle nine, Daz Nundaz, Moro All stars na wakali wengine wengi zaidi.
Mwaka 2004 katika uwanja wa Diamond Jubilee afande alivuikwa taji hilo analoshikilia mpaka leo hii. Kiingiliokatika how hiyo ni shilingi Elfu saba tu TSH: 7000/=
HUU NI MOJA YA WIMBO WA AFANDE WA KITAMBO SANA ULIOBEBA JINA LA ALBAM YA MKUKI MOYONI
0 MAONI YAKO:
Post a Comment