Pamoja na kukutana kwenye nyimbo za Kigoma AllStars, kwenye wimbo wa
Dully Sykes ‘Utamu’ na kwenye ngoma ya Victoria Kimani ‘Prokoto’, Ommy
Dimpoz na Diamond Platnumz hawajawahi kuachia wimbo rasmi wa pamoja.
Hivi karibuni Diamond alimpa shavu hitmaker wa ‘Ndagushima’ Ommy kwenye
video ya wimbo aliomshirikisha Iyanya iliyofanyika jijini London,
Uingereza na kuenea tetesi kuwa wawili hao wamepanga kufanya collabo
kubwa ya pamoja itakayokuwa na video kali.
amesema siku collabo yake na mtajwa huyo wa tuzo za BET, patachimbika.
“Watu kwanza najua wanasubiria kwa hamu sana lakini trust me
nakuambia siku utakayosikia moto umewaka basi itakuwa ni balaa na unaelewa kwamba wamanyema kwanza hawakosei. Sijui itakuwaje, lakini ni
balaa. Halafu projects zipo nyingi tu lakini watu wasubirie tu waone itakuwaje lakini nakuambia ukweli itakuwa hatari sana,” alisema Ommy.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment