


Safari ya Mwisho ya Nasra.kutoka hospitali ya mkoa wa Morogoro hadi
Jamhuri stadium na baadaye Makaburi ya Kolla.Tunaamini sisi tulikupenda
lakini Mungu amekupenda zaidi.alikuonesha ili.iwe fundisho na aibu kwa
waiokutenda.TUPINGE VIKALI UKATILI DHIDI ya watoto,dhidi ya
wanawake,dhidi ya watu wasiokuwa na hatia.INAUMIZA SANA NA INANITOA
MACHOZI!RIP NASRA AKA MTOTO BOKSI.WE LOVE U!
Hii ni kutoka kwa idda.mushi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment