June 01, 2014

10325360_761911693831786_7288579013049174718_n

MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.

R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE