June 20, 2014

 
Wik end iliyoisha mdau wa clouds fm Morogoro na mmiliki wa thechuma.blogspot.com Salim Chuma, aliingia katika maisha mapya ya ndoa baada ya kuamua kuachana na ukapela. Ndoa hiyo ilifungwa siku ya jumamosi mjini Humo huku ikihudhuliwa na watu wengi

 
  

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE