June 20, 2014


kangaaa 
Ni taarifa iliyotoka jioni ya June 17 ambayo ilimhusisha mmoja kati ya kina dada wanaounda kundi la Kanga Moko kupigwa risasi na polisi wakiwa kwenye sherehe,ameongea dada aliyepigwa risasi na pia ipo kauli ya Jeshi la Polisi Tanzania kuhusu suala hili.
Bonyeza play kusikiliza

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE