July 04, 2014


Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz “Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya BET, DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea

kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na maelfu ya watazamaji duniani kote. Diamond Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo fleva.

Related Posts:

  • ALICHOKIANDIKA KALA PINA facebook KUHUSU SENSA   KalApina Kikosi Cha Mizinga enyi waislam enyi mlio amini hakuna kuhesabiwa sensa mpaka hii serikali dhalimu na vibaraka wake kama bakwata mpaka serikali ikubali madai yetu kama kufungwa jela ama kukamat… Read More
  • R.I.P MAMA YETU MPENDWA BI HAWA NGULUME Tulikupenda  ila  mungu  kakupenda  zaidi     Pumzika  kwa  amni   Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngul… Read More
  • TID AHUSISHWA KUPANGA NJAMA ZA KUMUUA ALI KIBA Habari ambazo zimesambaa mtaani hasa  Jijini Dar es salaam, zinamhusu msanii wa muziki wa kizazi Ali Kiba, inasemekana kwamba Hivi karibuni Familia yake inayoishi Kariakoo karibu na Club ya Soccer ya YANGA, e… Read More
  • ZERO FT. MR. BLUE ZERO FT. MR. BLUE (NEW JOINT RELEASED) New talent kwa jina la Zero kutoka Mkoani morogoro. Ni masanii ambaye kwa kweli naweza sema ni wa pili kwa uwezo wa ki-RnB mkoani Morogoro ambaye anakuja kumuweka belle 9 kat… Read More
  • RAY C ASEMA "Sijarudi Tanzania Kutafuta Bwana" Ray C Ray C ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hakuja Tanzania kutafuta Bwana wa Kuolewa nae kama watu wanavyosema mitaani...amefunguka na kusema kuwa amerudi Dar kwa ajili ya… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE