Mtayarishaji wa muziki Tanzania Tudd Thomas ndiye
aliyetayarisha wimbo wa Diamond ‘MdogoMdogo’ ambao unafanya vizuri sana
pamoja na wimbo wa Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ ambazo zote zimepata nafasi
kubwa huku wasanii hao wakilipa mamilioni kufanya videos.
,Tudd amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni mbili kwa kila wimbo katika nyakati tofauti.
“Kikawaida huwa wanasema sio vizuri kwa kuwa ni biashara lakini mimi niko real, ni two million kwa kila wimbo.” Alisema.
Ameeleza kuwa gharama za nyimbo hizo zilitokana na ukubwa wa nyimbo zenyewe na muda alioutumia kukaa studio na wasanii hao.

Tudd amesema wimbo wa ‘MdogoMdogo’ ulitengenezwa kwa muda wa miezi
mitatu kwa kuwa ulikuwa wimbo mgumu kwao wote kwa kuwa ilikuwa idea mpya
kwa wote, wakati wimbo wa Ommy Dimpoz ulimchukua miezi miwili
kuukamilisha.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment