Huu ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa vichwa viwili vinavyofanya poa sana katika anga ya muziki wa kizazi kipya. Naamini wengi wenu mlikuwa mkisubilia kwa hamu sana muungano wa watu hawa wawili. Hapa wanazungumzia kuhusu mziki unaofanywa nao kwa pande mbili tofauti
FIESTA MBEYA HAPATOSHI
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za
muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la
Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine.
…Read More
MSIKITI WAUNGUA MOTO DODOMA
Na Rama Ngozi -Dodoma
Msikiti mkubwa wa Answar
Sunna uliopo barabara ya saba mjini Dodoma umewaka moto mchana wa leo ikiwa ni muda mfupi baada…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment