July 11, 2014

Producer na msanii kutoka studio yake mwenyewe "sharobaro music" Bob Jr  leo hii (July 11) ametoa zawadi ya wimbo mpya kwa mashabiki wake "Bolingo"
Bob jr amesema Bolingo maana yake ni mapenzi na wala hamaanishi kama watanzania wengi tulivyozoea kuwa ni miziki ya kutoka Congo.

"Bolingo maana yake ni mapenzi, unajua watanzania huwa tunasema miziki ya bolingo lakini ukweli hakuna mizki ya bolingo, ni lingala, bolingo maana yake ni mapenzi, so mi nimemaanisha mapenzi" amesema Bob Jr

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE