Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe
Serikali ya Tanzania imezitaka nchi za Afrika kuamka kwa kuanzisha jeshi
maalumu litalohusika na utanzuaji wa mizozo inayoendelea kulikumba bara
hilo na si kutegemea misaada ya kijeshi kutoka katika madola ya
magharibi.
Wito huo ambao umetolewa na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Bwana Bernard Membe aliyekuwa akizungumza na
waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali unafuatia kuongezeka
kwa machafuko katika bara hilo huku kukiwa hakuna juhudi mahsusi za
kutanzua hali hiyo. George Njogopa na ripoti zaidi.
Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Saumu Yusuf
Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Saumu Yusuf
0 MAONI YAKO:
Post a Comment