July 17, 2014

Photo: It's today 11.7.2014 macho yetu yawe wazi kulicheki chupa letu Kizungumkuti.... Asante Mungu, mamaangu amekuwa fursa na mchango mkubwa kwangu siku zote,asante brother Afande Sele nimejifunza mengi sana kupitia yeye mazuri na mabaya ni sehemu ya maisha nimehifunza kukubali hali halisi,@brother Dully umekuwa mchango mkubwa pia ktk kurudisha matumaini yangu ktk game, Digital vibes when I had no body on my sight you guys were there for me, Lameck Ditto, MX Michael Carter Mlingwa, Henxer my director tumepitia mengi majaribu asante Mungu as kila jaribu lina mlango wa kutokea, all radio,TV presenters na wadau bila kusahau wapenzi, marafiki na mashabiki wangu woooote amani kwenu.
Ni moja ya video bora kabis kwa sasa ambayo imekwenda na wakati husika, Katika video hii utaweza kuona matukio yanayoendana na jamii yetu  hasa katika upande wa mahusiano na uaminifu.

TAZAMA HAPA CHINI
 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE