Kwa Mara nyingine tena TheNavyKenzo kuanza kuandika historia nyingine kwenye bongo Fleva kwa ku-drop video kali ya Nyimbo yao iliyo-make headlines sana kwenye stesheni mbalimbali za redio hapa nchini, na kushikilia top charts , Chelewa(Bokodo) ni video iliyofanywa na director Enos
Ilichapishwa mnamo 9 Jul 2014
Song title - Chelewa/Bokodo
Perfomed by Aika & Nahreel
Navy Kenzo Music Group
Language - Swahili
Genre - Bongo flava
0 MAONI YAKO:
Post a Comment